Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo ampiga kijembe Twaha Kiduku

FNRUfJ9XEAIQ8u0 Bondia mtanzania, Hassan Mwakinyo

Fri, 1 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya maneno kuwa mengi yakimtaka Bondia anaefanya vizuri ulingoni Hassan Mwakinyo kupigana na Twaha Kiduku hasa baada ya Twaha kufanya vizuri siku za karibuni kwa kushinda mapambano yake.

Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na kutoa maneno ambayo yanaonekana kama kijembe kwa Twaha ambae anataka kupambana na Mwakinyo kwa kila hali.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Mwakinyo ameandika ujumbe ambao unasemekana kumlenga Twaha Kiduku.

Tazama hapa chini Tweet ya Bondia Mwakinyo,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live