Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo abadilishiwa mpinzani

Hassan Mwakinyo Jrrrr Bondia Hassan Mwakinyo

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Hassan Mwakinyo ambaye ilibidi acheze pambano la kuwania mkanda wa IBA Intercontinental dhidi ya Rayton Okwiri sasa amebadilishiwa mpinzani.

Katika pambano hilo la raundi 10 litafanyika jijini Dar es Salaam na sasa atazichapa dhidi ya Julius Indongo kutoka Namibia.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Mwakinyo ameandika;

"Binafsi sijaridhishwa na mabadilko hayalakini ni bora kugawa chakula kilichokwisha andaliwa kuliko kutupa, natumai washabiki zangu ni waungwana na kwa pamoja mtaelewa mabadiliko haya,"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live