Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mwakinyo: Msimamo ni mmoja tu kama Mogadishu

Mwakinyo Aahidi Kumchapa Kuvesa Katembo Bondia Hassan Mwakinyo

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya jana Septemba 28 kutoa kauli inayoashiria hatopanda kupigana Ijumaa ya Septemba 29.

Hii leo Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli inayoendelea kuacha maswali mengi ambapo ameandika;

"Maswali na simu zimekua nyingi, kiukweli mpaka sasa nina asilimia 5% tu za kupanda ulingoni ikiwa zitaongezeka ni mimi wenyewe nitasema naomba tuwe wavumlivu epuka matapeli...msimamo ni mmoja tu kama mogadishu. kwa kitendo hichi naomba!! huu ndio we mwisho wa mapromoter dhulma wahuni wadanganvifu na matapeli...!

Je, Mwakinyo atapanda au hapandi? Toa ubashiri wako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live