Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtanzania kuzichapa Machi 4 Sweden

Awadh Tamim Awadh Mohamed Tamim atapanda ulingoni tarehe 4 Machi 2023

Thu, 2 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia namba moja kwenye uzito wa juu Tanzania, Awadh Mohamed Tamim atapanda ulingoni tarehe 4 Machi 2023 kuzichapa na Bondia Msweden, Pezhman Seifkhani kugombea ubingwa wa Swedish Champion Heavyweight Title katika pambano litakalopigwa Mjini Orebro.

Tamim Awadh anawaomba Watanzania kumuombea dua na kumuunga mkono katika pambano hilo.

Endelea kuwa karibu na Tanzaniaweb tutakupa koila kinachojiri katika Pambano hilo la uzito wa juu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live