Bondia Mtanzania, Adam Kipenga anayeishi Virginia, Marekani amepoteza kwa pointi za majaji wote watatu 80-72, 80-72 & 80-72 dhidi ya Ashton Sylve (19) wa Marekani katika pambano la raundi 8 lililopigwa usiku wa kuamkia Jumamosi mjini Florida, Marekani.
Bondia Mtanzania, Adam Kipenga anayeishi Virginia, Marekani amepoteza kwa pointi za majaji wote watatu 80-72, 80-72 & 80-72 dhidi ya Ashton Sylve (19) wa Marekani katika pambano la raundi 8 lililopigwa usiku wa kuamkia Jumamosi mjini Florida, Marekani. Awali Ashton alitarajiwa kupambana na Angel Rebollar lakini mpinzani wake huyo alipata jeraha la jicho hali iliyopelekea Mtanzania Kipenga kupata fursa hiyo.