Pambano la Maonyesho la Bondia Floyd Mayweather (45) Vs Mikuru Asakura (30) limetangazwa kufanyika September 24, 2022 na watazamaji wataangalia pambano hilo kupitia kulipia kwa PayPer View na litafanyika kwenye ukumbi wa Saitama Super Arena nchini Japan.
Pambano la Maonyesho la Bondia Floyd Mayweather (45) Vs Mikuru Asakura (30) limetangazwa kufanyika September 24, 2022 na watazamaji wataangalia pambano hilo kupitia kulipia kwa PayPer View na litafanyika kwenye ukumbi wa Saitama Super Arena nchini Japan. Floyd Mayweather alistaafu ngumi za kulipwa akiwa na rekodi nzuri ya 50-0. Mpiganaji wa MMA wa Japan Mikuru Asakura (16-3-0) ni huu ndio mchezo wake wa kwanza wa ngumi. Pambano hili ni la Round 3.