Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga anyakua Tuzo, amfunika Mayele

Mandonga Tuzoooo Mandonga anyakua Tuzo, amfunika Mayele

Mon, 13 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia maarufu nchini Tanzania, Karim Mandonga ametunukiwa Tuzo ya Mwanaume Bora wa Mwaka katika hafla iliyoandaliwa na mtangazaji maarufu, Dina Marios.

Tuzo hizo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Februari 13 ambapo Mandonga ameibuka kidedea na kushinda Tuzo ya Mwanaume Bora wa Mwaka.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa tuzo hiyo, Mandonga amesema amefurahishwa na tuzo hiyo kwani hakutarajia ambapo amemtakia maisha marefu muandaaji wa tuzo hizo na kuwaomba wadhamini wengine waendelee kumsapoti Dina Marios kwani jitihada zake zinaonekana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live