Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga amchakaza Said Mbelwa kwa TKO

Manfonga Mbelwa Mandonga amchakaza Said Mbelwa kwa TKO

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika Raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa uzito wa Kati Middle Weight, leo Novemba 25, 2022.

Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika Raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa uzito wa Kati Middle Weight, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali hata nikikutana mtaani nitampiga tena, Ndoige ni ngumi inayokata kona.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live