Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga achezea kichapo kwa Mada Maugo, apigwa TKO

Karim Mandonga Vs Mada Maugo.jpeg Mandonga achezea kichapo kwa Mada Maugo, apigwa TKO

Fri, 12 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Karim Mandonga amepoteza pambano dhidi ya Mada Maugo kwa kupigwa katika Raundi ya 6 kwa TKO kwenye pambano lililofanyika Mkoani Morogoro

Ngumi iliyopigwa kwenye kidevu katika pambano hilo la Raundi 6 ilimfanya Mandonga apoteze mwelekeo, ndipo mwamuzi Pendo Njau akaingilia na kumaliza pambano

Baada ya pambano, Maugo amesema “Mwalimu wangu ambaye ni mke wangu aliniambia niwe na utulivu ulingoni, hilo nimelitimiza, nikikutana na Mandonga popote pale bado nitampiga tena.”

Upande wa Mandonga amesema “Maugo hawezi kunisumbua, ni mchezo tu, uwezo wa kunipiga hana.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live