Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga, Kiduku ulingoni Novemba 25

Mandonga X Kidukuu Mandonga, Kiduku ulingoni Novemba 25

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Novemba 25 mwaka huu Mo Green International Sports Promotion imeandaa pambano kubwa la ndondi mkoani Morogoro litakalokutanisha mabondia nyota ndani na nje ya nchi.

Bondia anayetamba kwa kipindi hiki Karim Mandonga naye atapigana na bondia mkongwe Said Mbelwa huku akiweka tambo zake kwa mpinzani wake huyo.

Bondia Twaha Kiduku atapambana na bondia Damian Bonell kutoka nchini Argentina ambaye pia ana historia ya kusisimua kwenye tasnia ya ngumi.

Pambano jingine litahusisha mabondia Dulla Mbabe ambaye atapigana na bondia kutoka DR Congo, Mbiya Kanku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live