Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mandonga: Bondia walieniletea nilikuwa simuelewi, ni mganga wa kienyeji (+Video)

Mqndonga 001 Karim Mandonga alipoteza pambano raundi ya tatu kwa TKO

Sun, 30 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Jana Julai 29, Bondia kutoka Morogoro Karim Mandonga kupoteza pambano mbele ya Bondia kutoka nchini Uganda Moses Golola kwa TKO mchezo uliopigwa Jijini Mwanza.

Bondia huyo amekuja na majibu ya sababu za kupoteza usiku wa jana akiwa nyumbani Tanzania.

Mandonga anasema Mapromota wamemletea mtu ambae hamuelewi na ana mashaka ana chembechembe za ushirikina ndani yake.

Msikilize Mandonga akizungumza kwenye Video hapa chini kisha mpe neno moja kama shabiki wa ndondi

View this post on Instagram

A post shared by Ally Kamwe (@alikamwe)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live