Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MWAKINYO AMSHINDA TKO

Capture 470?fit=608%2C404 MWAKINYO AMSHINDA TKO

Sat, 14 Nov 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshinda tena kwa Technical Knock Out(KO) dhidi ya bondia Muargentina Jose Carlos Paz na kuendelea kutetea Mkanda wake wa WBF na kumfany awe na jumla ya KO’s 12 katika mara 18 alizoshinda ndani ya mapambano 20 ambayo ameyafanya hadi sasa.

Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshinda tena kwa Technical Knock Out(KO) dhidi ya bondia Muargentina Jose Carlos Paz na kuendelea kutetea Mkanda wake wa WBF na kumfany awe na jumla ya KO’s 12 katika mara 18 alizoshinda ndani ya mapambano 20 ambayo ameyafanya hadi sasa. Bondia Muargentina alisalimu amri katika Round ya 4 katika Pambano la Round 12 la uzito wa Intercontinental Super Walter Weight.

Chanzo: zanzibar24.co.tz