Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiduku amtwanga Kabangu, atwaa ubingwa wa UBO

Kiduku Ubo Kiduku amtwanga Kabangu, atwaa ubingwa wa UBO

Sun, 27 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia wa Tanzania, Twaha Kassim Lubaha (maarufu kama Twaha Kiduku) ameshinda pambano lake dhidi ya Bondia kutoka DR-Congo, Alex Kabangu

Kutokana na Ushindi huo, Twaha amejitwalia mkanda wa UBO Super Middle Weight ambao ulikuwa wazi.

Pambano hilo la raundi nane, lilifanyika Morogoro usiku huu wa kuamkia Machi 27, 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live