Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kell Brook amaliza mbwembwe za Khan

Kell Brook Kell Brook (Mwenye Bukta nyekundu) akimsukumia Konde Khan

Sun, 20 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Kell Brook usiku wa kuamkia leo amemshinda Amir Khan kwa Technical Knockout raundi ya sita ukumbi wa Manchester Aren.

Bondia Kell Brook usiku wa kuamkia leo amemshinda Amir Khan kwa Technical Knockout raundi ya sita ukumbi wa Manchester Aren. Refa alilazimika kusimamisha pambano raundi ya sita kumnusuru Khan ambaye alikuwa akipokea kipondo bila majibu kutoka Kell Brook, 35.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live