Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karim Mandonga atwaa ubingwa Kenya

Mandonga Aahinda.jpeg Karim Mandonga amchapa Mganda

Sat, 25 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania, Karim Mandonga 'Mtu Kazi' amemshinda Kenneth Lukyamuzi wa Uganda kwa pointi za majaji wawili (Split decision) baada ya pambano kali la raundi 8 lilipigwa usiku wa Jumamosi ya Machi 25 nchini Kenya.

Mandonga ametwaa ubingwa wa PST uzani wa Light Heavyweight ikiwa ni ubingwa wake wa kwanza tangu aingie kwenye Ndondi miaka 8 iliyopita.

Mandonga alirejea Kenya kuchuana na Lukyamuzi ikiwa ni miezi mitatu tangu ampasue Mkenya Daniel Wanyonyi kwa TKO katika raundi ya tano mnamo Januari 14, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live