Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Karim Mandonga apigwa TKO raundi ya tatu na Mganda

IMG 5082 Mandonga.jpeg Karim Mandonga amepigwa kwa KO

Sat, 29 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania Karim Mandonga amepigwa na Bondia wa Uganda Moses Golola kwa TKO (Technical Knock Out) round ya tatu katika pambano lililochezwa jijini Mwanza.

Bondia Mtanzania Karim Mandonga amepigwa na Bondia wa Uganda Moses Golola kwa TKO (Technical Knock Out) round ya tatu katika pambano lililochezwa jijini Mwanza. Ndani ya siku 8 Mandonga amepigana mapambano mawili na yote amepigwa ambapo July 22 2023 alipigwa na Bondia Daniel Wanyoni wa Kenya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live