Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KUFURU: Mayweather anunua saa yenye gharama sawa na mshahara wa mwaka wa Pogba, 50 Cent amshambulia

10229 Floyd Mayweathers Watch 1080x608 TZW

Thu, 28 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Mayweather kupitia ukurasa wake wa Instagram ameionesha saa hiyo aina ya  “The Billionaire Watch” na kutaja gharama yake kuwa ni Dola milioni $18 sawa na tsh bilioni 40.2 .



Saa hiyo iliyotengenezwa mwaka 2015 na kampuni ya Jacob & Co inatajwa kuwa ndio saa yenye gharama zaidi duniani kwa sasa na imetengenezwa kwa almasi.

Mayweather amenunua saa hiyo kutoka kwa sonara maarufu zaidi duniani, Mjapani Tadashi Fukushima na kueleza kuwa hawaamini kabisa masonara wengine kwa kile alichoeleza kuwa matapeli.

Kwa gharama ya dola milioni $18 ni pesa anayolipwa kiungo wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba kwa mwaka ambapo yeye analipwa Euro milioni 15.4 hii ni kwa mujibu wa gazeti la Marca .

Kwa upande mwingine, Rapa 50 Cent amemtukana Mayweather kwa kumuita mpumbavu kwa kununua saa hiyo yenye gharama kama hiyo.

“Man they done found the 1 fool in the

Chanzo: bongo5.com