Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Joshua amchapa Franklin kwa Pointi

Joshua Vs Franklin.jpeg Joshua amchapa Franklin kwa Pointi

Sun, 2 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Muingereza, Anthony Joshua usiku wa Jana amefanikiwa kumshinda kwa pointi Mmarekani, Jermaine Franklin katika pambano la uzito wa juu ngumi za kulipwa ukumbi wa O2 Arena, Greenwich kuzipiga.

Pamoja na ushindi huo, lakini hakuwa AJ yule ambaye walimzoea kumuona kwa ubora wa hali ya juu ulingoni kabla ya kupoteza mapambano mawili mfululizo mbele ya Olexsandr Usyk wa Ukraine na kuvuliwa mataji yake ya IBF, IBO, WBA na WBO.

Baada ya pambano hilo Anthony Joshua alisema anamtaka Muingereza mwenzake na bingwa wa WBC, Tyson Fury.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live