Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

John Cena arudi ulingoni (WWE)

Sf John Cena John Cena arudi ulingoni (WWE)

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya ukimya wa muda mrefu mwanamieleka John Cena arudi ulingoni tena kwa kishindo.

Ikumbukwe kuwa mwanamieleka huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu akiendelea kufanya mambo mengine kama vile kujihusisha na uigizaji sasa ameweza kuonekana tena ulingoni na kuwapa mashabiki wa mchezo huo kile walichokuwa wamekikosa kutoka kwake kwa muda mrefu.

Wengi wanaufahamu mchezo wa mieleka ambao asili yake ni Marekani kutokana na kutamba sana kutokana mbwembe za baadhi ya ma-star wa mchezo huo akiwemo John Cena kushinda mikanda mingi zaidi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live