Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ibrahimu Class na Nasibu Ramadhani kuzichapa Setpemba 24

Super D.jfif Promota wa mpambano huo Rajabu Mhamila ‘Super D’ na Ibrahimu Class

Tue, 3 Aug 2021 Chanzo: fullshangwe

Mabondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ na Nassibu Ramadhani wamesaini mkataba wa kuzipiga kwa mara nyingine tena kupitia kampuni tanzu ya kizarendo ya Super D Boxing Promotion, mpambano huo unaotarajia kuzipiga septembar 24 jijini Dar es salaam akizungumza mara baada ya kuwasainisha mikataba mabondia hawo promota wa mpambano uho Rajabu Mhamila ‘Super D’

Mabondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ na Nassibu Ramadhani wamesaini mkataba wa kuzipiga kwa mara nyingine tena kupitia kampuni tanzu ya kizarendo ya Super D Boxing Promotion, mpambano huo unaotarajia kuzipiga septembar 24 jijini Dar es salaam akizungumza mara baada ya kuwasainisha mikataba mabondia hawo promota wa mpambano uho Rajabu Mhamila ‘Super D’ Katika mpambano wa kwanza uliopigwa miaka kadhaa iliyopita Class alibuka na ushindi wa point na Nassibu akakubali kushindwa na badae kuomba marudiano.

Chanzo: fullshangwe