Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo Karim Mandonga alivyomchapa Mkenya kwa TKO (+Video)

Mandonga Mskl Hivi ndivyo Karim Mandonga alivyomchapa Mkenya kwa TKO

Mon, 16 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania asieishiwa tambo na vituko Karim Mandonga, Jumamosi usiku alikuwa nchini Kenya kuzichapa na Mkenya Daniel Wanyonyi.

Katika Pambano hilo la raundi 10 lisilokuwa la ubingwa, Bondia Karim Mandonga ‘Mtu Kazi’ amempiga bondia Mkenya Daniel Wanyonyi kwa mtoano wa kiufundi (TKO) raundi ya sita.

Pambano hilo lililovuta hisia za wengi lilipigwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) nchini Kenya.

Tazama matukio yote muhimu katika pambano hilo;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live