Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa Ndio Top 10 ya Mabondia Bora Tanzania

Mwakinyo Kiduku Hawa Ndio Top 10 ya Mabondia Bora Tanzania

Tue, 15 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

UKIACHANA na mchezo wa soka ambao umekuwa na wafuatiliaji wengi zaidi duniani, mchezo ambao pia unafuatiliwa na mashabiki ni ule wa ngumi za kulipwa ambao pia una fedha ya kutosha licha ya kuchukua dakika chache tu ndani ya ulingo tofauti na soka.

Kawaida mchezo wa ngumi nimchezo wa matajiri,lakiniasilimia kubwa yamabondia wanaoshirikiwametokea kwenyefamilia za hali ya chiniambao wamekuwawakisaka fedhakupitia mchezo huo. Angalia historiaya Manny Pacquiao, Floyd Mayweather, Canelo Alvarez, Anthony Joshua, Michael Maidanaau ukija Bongoangalia bondiawa zamani kamaRashid Matumla,Francis Chekawote wametokeakwenye maisha yamsoto.

Hali hiyoimepelekeakuwa bora nakushika nafasiza juu kitaifa nakimataifa katika viwangovya ubora, kwa kuwamuda mwingi walifanyakazi yao kwa kutaka kuwabora kiviwango. Championi Jumatatu, linakuchambuliamabondia kumi borawa Tanzania kwasasa kutokana narekodi zao na uboraambao wamekuwawakionyesha katikamapambano yao.

1. HASSAN MWAKINYO

Kutoka Tanga, Makora bondia,Hassan Mwakinyo anayechezakwenye uzito wa Super Walterndiyo bondia namba moja kwaubora nchini akiwa na nyotanne, hii ikiwa ni katika ujumlawa madaraja yote ya uzito. Mwakinyo mwenye rekodiya kucheza mapambano 22akiwa ameshinda 20 katiya hayo 14 ni kwa KO naamepoteza mapambano mawilipekee kati ya hayo moja ni kwa KO.

 2.IBRAHIM CLASS

Hakuna asiyetambuakazi na ukubwa wa,Ibrahim Class katikamchezo wa ngumiza kulipwa Bongokutokana na kuwana kiwango na uwezomkubwa miaka yote. Kwa mujibu wa Boxrec ambao nimtandao unaotumikakuhifadhi kumbukumbuza mabondia Classmwenye rekodi yamapambano 32 akiwaameshinda 26 katiya hayo 11 kwa KO, amepoteza mapambanosita kati ya hayo matatu nikwa KO ndiyo bondia nambambili kwa ubora Bongo.

3. FADHILI MAJIHA

Mara nyingi huwa hatajwisana na wengine huenda wakawahawamtambui, lakini FadhiliMajiha ‘Stopper’ ndiyo bondiawa tatu kwa ubora nchini. Majiha ambaye ndiye bondiaaliyeshinda mapambano menginje ya Bongo kuliko bondiayoyote akiwa na rekodiya kucheza jumla yamapambano 46 akiwaameshinda 28 katiya hayo 14 ni KOna amepoteza14, kati ya hayomatatu ni kwa KOna ametoka sare maranne.

4. SALIMMTANGO

Bondiamwengine kutokaMakorora mkoaniTanga,SalimMtangondiyo anakamatanafasi ya nne katikamabondia bora wa Tanzania. Mtango siyo jina genikwa wapenzi wa ngumi kutokana nakipaji chake katika mchezo huo. Bondia huyo amecheza jumla yamapambano 21 akiwa ameshinda16 kati ya hayo kumi ni kwa KO, amepoteza mapambano manne katiya hayo mawili ni kwa KO naametoka sare moja.

5. TONYRASHID

Kutoka Mbezi ndani yaGym ya Amoma BoxingAcademy, Tony Rashid AK47 ameikamata nafasi yatano. Bondia huyo ambayeni bingwa wa zamani waABU anapanda ulingoniFebruari25, mwaka huu kugombaniamkanda wake na Bongani Mahlangu wa AfrikaKusini. Tony mwenye rekodiya kucheza jumla yamapambano17 akiwa ameshinda 13 kati ya hayo kumiyakiwa ni KO na amepotezamapambano mawili, mojalikiwa ni KO na kutoka saremapambano mawili.

6.MUSKIN SWALEHE

Mtaani kwa sasa anatambulikakwa jina Alkasusu kutokana nastaili yake ya kuachia ndevu nakuvalia kanzu fupi kama walewauza Alkasusu, huyu anashikanafasi ya sita katika mchezo wangumi za kulipwa Bongo. Alkasusu ana rekodi yakucheza mapambano 11 akiwaameshinda tisa kati ya hayomoja ni kwa KO, amepotezapambano mojana ametoka saremoja.

7. INNOCENTEVARIST

InnocentEvarist huyujamaa wengihawamtambuikabisa, lakinindiyo bondiaanayekamatanafasi ya saba kwamabondia bora waBongo. Bondia huyomwenye rekodiya kuchezamapambano 15 akiwa ameshinda11 kati yahayo tisa ni kwaKO, amepoteza moja kwa KO na saremoja. Mbali ya kuwa bondia, Evaristni ‘matchmaker’ ambaye amewezakuandaa mechi saba mpaka sasa.

8. ISMAIL GALIATANO

Kutoka katika Jeshi la Ulinzi laWananchi wa Tanzania ‘JWTZ’,bondia mwenye cheo cha Koplo, IsmailGaliatano ndiyo anakamata nafasi ya nanekwenye listi hii. Galiatano mwenye rekodi ya kuchezamapambano 15 akiwa ameshinda kumikati ya hayo mawili ni kwa KO, amepoteza mawili kati yahayo moja ni kwa KO naametoka sare matatu.

9. LOREN JAPHET

Kwa sasaamehamishiamakazi yakeGhana lakinianakamatanafasi yanane katikamabondiabora waBongo.Japhet lichaya kuwabora lakinini mmoja katiya mabondiawenye vipajivikubwa kwenyemchezo huo. Japhet amechezajumla yamapambano 18 akiwa ameshinda11 kati ya hayomatatu ni kwaKO na mepotezamapambanomatano kati ya hayomawili ni KO.

10. TWAHA KIDUKU

Hadi watotowadogo mtaaniwanamtambua kamaMzee wa Showshow, Twaha KassimRubaha maarufu zaidikwa jina la TwahaKiduku. Kiduku ndioanafunga dimba kwakushika nafasi yakumi akiwa ni bondiaaliyecheza mapambano27 kati ya hayoameshinda 18 nane nikwa KO na amepotezamapambano naneambapo moja ni kwa KOna ametoka sare pambanomoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live