Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fury akili ngumi ya Ngannou ni jiwe

Fury0827 Fury akili ngumi ya Ngannou ni jiwe

Sun, 29 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Tyson Fury amesema kwa kipindi cha miaka 10 hajawahi kupata mpinzani mgumu ndani ulingo kama Francis Ngannou baada ya kupata ushindi wa majaji 2-1 kwenye pambano lisilokuwa la mkanda lililochezwa mjini Riyadh,Saudi Arabia.

Bondia Tyson Fury amesema kwa kipindi cha miaka 10 hajawahi kupata mpinzani mgumu ndani ulingo kama Francis Ngannou baada ya kupata ushindi wa majaji 2-1 kwenye pambano lisilokuwa la mkanda lililochezwa mjini Riyadh,Saudi Arabia. Fury amesema; "Ni bondia mwenye mapigo mazuri, nampa heshima zote kwake na kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita sijawahi kupata mpinzani aliyenipa changamoto kubwa ulingoni kama yeye.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live