Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fury, Usky kuzichapa Februari 2024

Usyk Vs Fury Fight Fury, Usky kuzichapa Februari 2024

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachapa makonde wa uzito wa juu Duniani ambao ni Undisputed Tyson Fury mwenye mkanda WBC na Oleksandr Usyk mwenye mikanda ya WBA, WBO, IBF na IBO rasmi pambano lao kupigwa Februari 17, 2024 Jijini Riyadh, Saudi Arabia.

Wachapa makonde wa uzito wa juu Duniani ambao ni Undisputed Tyson Fury mwenye mkanda WBC na Oleksandr Usyk mwenye mikanda ya WBA, WBO, IBF na IBO rasmi pambano lao kupigwa Februari 17, 2024 Jijini Riyadh, Saudi Arabia. Fury miaka 35, mapambano ya kushinda 34 na droo 1 wakati Usyk ana miaka 36 kashinda mapambano yote 21, huku pambano lao likifananishwa na lile la miaka 25 iliyopita lililowakutanisha Miamba Lenox Lewis na Evender Holyfield la Machi 13, 1999 na pambano kuisha kwa droo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live