Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fury, AJ kukutana Saudi Arabia

Images Fury, AJ kukutana Saudi Arabia

Tue, 20 Apr 2021 Chanzo: mtanzania.co.tz

Riyad, Saudi Arabia

Lile pambano la uzito wa juu lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kati ya Tyson Fury na Anthony Joshua ‘AJ’ litafanyika Saudi Arabia.

Hiyo ni kwa mujibu wa promota maarufu wa mchezo wa masumbwi, Bob Arum, akisema siku itakuwa ni Julai 24, mwaka huu.

Endapo siku hiyo itashindikana, basi wawili hao watavaana wiki moja baadaye au Agosti 7, mwaka huu.

Chanzo: mtanzania.co.tz