Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Francis Ngannou ataka Pambano la marudio na Tyson Fury

Fury Knocked Down.jpeg Francis Ngannou ataka Pambano la marudio na Tyson Fury

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku chache zimepita baada ya pambano la bondia kutoka Cameroon Francis Ngannou na Tyson Fury kufanyika huku Tyson akiondoko na mkanda, bondia Ngannou ametaka pambano hilo kurudiwa.

Ngannou alifanya mahojiano na #TMZ na kuweka wazi kuwa jambo analolihitaji kwa sasa ni kurudia pambano na Tyson haraka iwezekanavyo na yuko radhi kughairisha mapambano yote aliyonayo ili arudiane na Tyson.

Pambano hilo la raundi 10 lililofanyika Oktoba 20, 2023 nchini Saudi Arabia ambapo Tyson Fury alishinda kwa pointi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live