Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Dullah Mbabe ampasua Chimwemwe kwa TKO

Dullah Chimwemwe Dullah Mbabe ampasua Chimwemwe kwa TKO

Sat, 28 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia Mtanzania Abdallah Pazi (Dullah Mbabe) amefanikiwa kumpiga TKO Bondia kutokea Malawi Chimwemwe Chiotcha kapambano la uzito wa 76Kg.

Pambano hilo limechezwa usiku huu wa leo Jumqmosi, Januari 28, 2023 katika Dinba la Mkwakwani jijini Tanga.

Mbabe ameshinda pambano hilo katika raundi ya nne ya mchezo baada ya Chimwemwe Chiotcha kupata mpasuko juu ya jicho lake uliyotokana na ngumi.

Linalofuata: Ibrahim CLASS (TAN) vs Ndodana NCUBE (ZIM)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live