Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Pambano la Mwakinyo na Mghana lafutwa

Hassan Mwakinyo ZNZ Pambano la Mwakinyo lafutwa

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi vigezo.

Kwa mujibu wa TPBRC, moja ikiwa ni malipo kwa mabondia hao na pili ni ukumbi ambao utachezwa pambano hilo kutofikia viwango.

Pambano hilo la kushindani ubingwa wa WBO Africa Middleweight, lilipangwa kufanyika katika Masaki, Dar es Salaam, Ijumaa ya Mei 1, 2024 kuanzia saa 1:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live