Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bondia anusurika kifo kwa moto

Bondia Anusurika Kifo Kwa Moto Bondia anusurika kifo kwa moto

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa wa zamani wa UFC Mark Coleman (59) maarufu kama ‘The Hammer’ ameripotiwa kuwa katika hali mbaya hospitalini baada ya kuwaokoa wazazi wake katika ajali ya moto iliyotokea asubuhi ya Jana Jumanne huko Fremont, OH nchini #Marekani.

Moto huo ulilipotiwa kutokea katika nyumba la ‘UFC Hall of Famer’ ambapo bondia huyo alikimbia ndani kuwaokoa wazazi wake Dan na Connie Foos #Coleman, walipokuwa wamenasa kwenye chumba chao.

Aidha baada ya kufanikiwa kuokoa wazazi wake Mark alirudi kwa ajili ya kumuokoa mbwa wao lakini moshi ulimzidia na kudondoka chini, lakini alifanikiwa kuokolewa na kukimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa ndege.

#Mark alijitokeza kwa mara ya kwanza katika eneo la michezo mchanganyiko ya kijeshi (#MMA) mwaka wa 1996. Alinyakua mataji ya ubingwa wa uzito wa juu katika #UFC mara 10 na #UFC 11, aidha aliripoti kustaafu 2013. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live