Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bondia Tony Rashid achezea kichapo Ubelgiji

Tony Rashid TKO Bingwa wa zamani wa ABU, Tony Rashid

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bingwa wa zamani wa ABU, Tony Rashid amepoteza pambano la kuwania mkanda wa ubingwa wa IBO Intercontinental kwa kichapo cha TKO ya raundi ya nane katika pambano la raundi kumi dhidi ya Hovhannes Martirosyan wa Ubelgiji.

Tony amepoteza pambano hilo lililopigwa kwenye Ukumbi wa Hasselt uliopo Limberg, Ubelgiji.

Hii ni mara ya kwanza kwa Mtanzania huyo kupoteza pambano nje ya mipaka ya Tanzania akiwa katika bara la Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live