Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bondia Mtanzania amchapa Msweden kwa TKO

Awadh Tamim Bondia namba moja kwenye uzito wa juu Tanzania, Awadh Mohamed Tamim

Sun, 5 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia namba moja kwenye uzito wa juu Tanzania, Awadh Mohamed Tamim, jana ameibuka mshindi kwa TKO katika raundi ya tatu dhidi ya Bondia Msweden, Pezhman Seifkhani katika pambano la raundi nane la kugombea ubingwa wa Swedish Champion Heavyweight Title katika pambano lililopigwa Mjini Orebro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live