Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bondia Mfaume apata ajali ya Gari Singida

Mfaume Mfaumeee (600 X 349) Bondia Mfaume apata ajali ya Gari Singida

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mfaume Mfaume 'Mapafu ya Mbwa' amenusurika kifo katika ajali iliyotokea jana mkoani Singida ikihusisha gari yake ilioharibika.

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mfaume Mfaume 'Mapafu ya Mbwa' amenusurika kifo katika ajali iliyotokea jana mkoani Singida ikihusisha gari yake ilioharibika. Kwa mujibu wa Msemaji wa kambi ya Team Naccoz, Feiz amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 27 na wote wametoka salama ambapo imemuhusisha Mfaume na baadhi ya ndugu zake ambao walikuwa wakielekea Singida katika jambo la kifamilia pamoja na kwenda Mwanza kumsapoti mmoja kati ya mabondia wa Team Naccoz anayetarajiwa kupigana kesho Jumamosi kwenye pambano la Boxing Royal Tour.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live