Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anthony Joshua akubali kuzichapa tena na Tyson Fury

Anthony Joshua Na Tyson Fury.jpeg Anthony Joshua akubali kuzichapa tena na Tyson Fury

Wed, 7 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tyson Fury amemwita Anthony Joshua kwenye “Batle of Britain”; Bondia Antony Joshua amejibu kwenye Twitter, akisema atakuwa tayari kupigana Desemba;

Oleksandr Usyk hatarajiwi kuwa tayari kwa pambano lisilopingika la ubingwa wa uzito wa juu na Fury mwaka huu.

Tyson Fury alikua anahitaji kukutana na Bondia Olexander Usyk ambaye alifanikiwa kumpiga bondia Antony Joshua na kutetea ubingwa wake. Usyk hayupo tayari kupigana mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live