Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afanyiwa upasuaji baada ya kupigwa KO

Kipigoooo Afanyiwa upasuaji baada ya kupigwa KO

Mon, 16 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bondia kutokea Mexico Alejandra Ayala (33) alikimbizwa hospitali na kufanyiwa upasuaji mara tu baada ya mpambano uliofanyika Ijumaa jijini Glasgow nchini Scotland.

Mpinzani wake ambaye ni bondia kutokea Scotland Hannah Rankin (31) alimtoa knockout bondia huyo katika raundi ya 10 ya pambana la ubingwa wa dunia wa WBA na IBO.

Kupitia mtandao wa Twitter Rankin ameandika “fikira, dua zangu na kila la kheri ziko na Alejandra, familia na timu yake. Asanteni Scotland kwa kuusapoti mpambano wetu wote tumuombee Alejandra apone haraka.” Taarifa kutoka katika hospitali anayotibiwa zinasema kuwa hali ya Alejandra inaendelea vizuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live