Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Suns ushindi wa 47, Giannis Akiing'arisha Bucks

Antekumpo Giannis Akiing'arisha Bucks

Wed, 16 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Phoenix Suns wameshinda mechi yao ya 47 leo kwa kuwatungua LA Clippers kwa vikapu 103 kwa 96 huku Devin Booker akiweka points 26, assists 4 na kuiba mipira mara 3 katika ushindi huo wa Suns.

Kufikia leo Phoenix Suns wamepoteza michezo 10 pekee na kuwafanya wawe vinara ukanda wa Magharibi.

Mabingwa watetezi wa NBA, Milwaukee Bucks walikua na wakati mzuri dhidi ya Indiana Pacers kwa kuwafunga kwa points 128 kwa 119.

Giannis Antentokounmpo alikua 50 points, kudaka rebounds 14, na kutoa assists 4 katika ushindi huo wa Bucks.

Matokeo mengine ni kama inavyoonekana kwenye jedwali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live