Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Stephen Curry aweka rekodi mpya NBA

Curry Rekodi Mchezaji wa Golden State, Stephen Curry

Wed, 15 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Stephen Curry, amefunga 3-pointers 6 na kufikisha 2,977 hivyo kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pekee kwenye historia ya NBA kuwa na 3-pointers nyingi zaidi na kumpiku gwiji wa zamani wa Milwaukee Bucks, Rey Allen aliyekuwa anaishikilia rekodi hiyo akiwa na 2,973.

Hii hapa Orodha ya rekodi bora tano NBA, Tazama hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live