Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Corona yazidi kutikisa anga la Michezo Duniani, NBA hali tete

NBA Disemba 20 (600 X 689) Matokeo ya Michezo ya NBA, Disemba 20

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa kuamkia Disemba 20, michezo ya Ligi Kuu ya Kikapu nchini marekani (NBA) ilipigwa.

Lakini katika hali isiyo ya kawaida, Michezo mitatu (3) kati ya tisa (9) imeghairishwa kutokana na ongezeko la visa vya UVIKO19 huko nchini Marekani.

Tazama hapa chini matokeo ya michezo iliyopigwa;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live