Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu atamba albam mpya: Nakuja kuwavuruga

Zuchu 13 Zuchu

Mon, 13 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zuchu; ni malkia mpya wa muziki nchini Tanzania aliyesainiwa chini ya Lebo ya WCB ya mtu mzima, Diamond Platnumz ambaye ameweka wazi kuwa anakuja kuwavuruga albam yake mpya na ya kwanza ambayo ipo mbioni kuingia sokoni.

Albam hiyo ya Zuchu inakuja muda mrefu tangua alipoachia EP yake ya I Am Zuchu ikiwa na nyimbo saba alizoshirikisha wasanii wawili.

“Making history, am grateful my album is coming," anasema Zuchu.

Hivi karibuni Zuchu alisema Juni 22, mwaka huu ataachia nyimbo mbili kwa mpigo huku Jaro ikiwa ni miongoni mwa nyimbo hizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live