Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Zuchu apelekwe mbali, hatulali" - Malkia Karen

Mlk Malkia Karen kushoto, kulia ni Zuchu

Thu, 31 Mar 2022 Chanzo: eatv.tv

Ni headlines za msanii Malkia Karen ambaye ameiomba Serikali kumpeleka mbali hitmaker wa ngoma ya sukari Official Zuchu kwa sababu anafanya wasanii wengine kukosa usingizi na kutafakari.

Malkia Karen ameshea ujumbe huo kwa kuandika "Naiomba Serikali Official Zuchu apelekwe mbali anatufanya hatulali wasanii wengine hatutali hatutafakari".

Zuchu ni moja kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri hapa nchini kwa sasa licha ya kuwa na muda mfupi kwenye game.

Chanzo: eatv.tv