Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zuchu Kinara YouTube

IMG 20211226 WA0014 1080x640 Memba wa Label ya WCB, Zuchu

Sun, 26 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki nyota wa WCB, Zuhura Othman Soud anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii ‘Zuchu’ bado anabakia kinara kwa kuweka historia ya kuwa msanii mwenye wimbo uliotazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa mwaka 2021.

Wimbo uitwao ‘Sukari’ alioutoa Januari 30, 2021 hadi sasa umefikisha watazamaji zaidi ya milioni 61, na kuwa wimbo pekee uliotazamwa zaidi katika ukanda wa nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa mwaka 2021.⁣

“SUKARI, Wapenzi Milioni 60,000,000

Chanzo: www.tanzaniaweb.live