Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Young Dee: Dogo Janja ameshindwa muziki

Young Dee Dogo Janja .jpeg Young Dee na Janjaro

Sun, 7 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni vita ya maneno kati ya Dogo Janja na Young Dee ambapo Dee amedai kuwa Janjaro ameshindwa muziki na kwa umri wake sio wa kupost na kuringishia viatu na nguo.

Ni vita ya maneno kati ya Dogo Janja na Young Dee ambapo Dee amedai kuwa Janjaro ameshindwa muziki na kwa umri wake sio wa kupost na kuringishia viatu na nguo. Kwenye Refresh ya Wasafi Tv, Dee amekazia kuwa siku zote wanawake wanajua Marioo anataka nini, hivyo mpenzi wake Janjaro amejua Jamaa anapenda viatu,nguo mpya na kusafiri na ndicho anachokifanya hadi Dogo Janja kasahau kitu kinaitwa muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live