Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yemi alade akimbiza Instagram

Yemi Alade Empress US Tour Details Instagram NotjustOK.jpeg Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Yemi Alade

Fri, 11 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukiachana na Ronaldo kuwa binadamu wa kwanza kuwa na wafuasi wengi zaidi duniani, kwa hapa kwenye mtandao wa Kijamii wa Instagram, Barani Afrika list inaongozwa na msanii Davido mwenye wafuasi zaidi ya Milioni 22.

Na hivi sasa Mama Africa Yemi Alade na yeye amefikisha Idadi ya wafuasi Milioni 16 kwenye ukurasa wake wa Instagram na hii inamfanya Yemi Alade kuwa msanii wa pili AAfrika kuwa na wafuatilia wengi zaidi.

List bado inafuatiwa na mwanadada Tiwa savage mwenye wafuasi Milioni 14 sambamba na Diamond Platnums mwenye wafuasi Milioni 14 pia , pamoja na Wizzkid mwenye wafuasi Milioni 13.

Tazama Picha hapa chini kuona idadi ya wafuasi wake instagram;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live