Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VideoMPYA:Major League DJz wakiwa na mrembo Mphona Sebina "Dinaledi"

Screen Shot 2020 12 15 At 6.02.52 PM 660x400.png VideoMPYA:Major League DJz wakiwa na mrembo Mphona Sebina "Dinaledi"

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

NI Kutokea Afrika Kusini kwenye ardhi ya Ramaphosa ambapo leo nimekusogezea video mpya ya wimbo wa  Major League DJz  uitwao Dinaledi waliomshirikisha mrembo Mphona Sebina.

Mphona anaingia kwemye rekodi ya warembo wanaofanya vizuri hususani kupitia soko la muziki unaotambulika kwa jina la Amapiano unaotayarishwa nchini Afrika Kusini.

Dinaledi ni wimbo unaopatikana katika album yao mpya iliyopewa kwa jina la Pianochella, unaweza ukaitazama hapa video hiyo mpya

Chanzo: millardayo.com