Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utafiti wa Kisayansi: Muziki unaponya haraka kuliko dawa

Vibe Danceee.jpeg Utafiti wa Kisayansi: Muziki unaponya haraka kuliko dawa

Sun, 19 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Loma Linda cha California, Marekani umeeleza kwamba katika wagonjwa 100 waliowekwa katika chumba chenye muziki bila kupewa dawa walipona haraka kuliko waliopewa dawa.

Utafiti huo uliofanyika mwaka 2015 na wanafunzi wa kitengo cha afya (School of Behavioral Health) ulieleza kuwa muziki ni jambo la ulimwengu wote ambalo lina athari za kiutambuzi, kimhemko na kisaikolojia kwa wanadamu.

Miongoni mwa athari hizo ni za kimatibabu kama vile kupunguzwa kwa dalili za kupata magonjwa ya mwili na akili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live