Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tyga jela inamuita

T Raww Rapper Tyga

Tue, 12 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Rapper Tyga amefunguliwa mashtaka kwa kumpiga mpenzi wake wa zamani Camaryn Swanson usiku wa kuamka Jumatatu.

Rapper Tyga amefunguliwa mashtaka kwa kumpiga mpenzi wake wa zamani Camaryn Swanson usiku wa kuamka Jumatatu. Taarifa zinaeleza kuwa Killa Cam alikuwa amelewa, lakini Tyga alimruhusu aingie ndani kwa ajili ya kuzungumza na baada ya muda zilisikika kelele za mpenzi wake huyo ambaye ameiambia polisi kuwa T-Raww alikuwa akimshushia kipigo wakati wa majibizano yao ambapo leo atafika kituoni kutoa maelezo kwa upande wake ikiwa tayari amefunguliwa kesi ya unyanyasaji wa nyumbani.

Chanzo: eatv.tv