Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuzo za Muziki nchini kurejea Machi 2022

Tuzo Kikao cha Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na viongozi wa vyama na Shirikisho la Muziki Tanzania

Tue, 28 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikao cha Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) na viongozi wa vyama na Shirikisho la Muziki Tanzania kilichofanyika katika ofisi za BASATA, leo Jumanne Desemba 28 kimetoka na maamuzi kuhusu tuzo za muziki.

BASATA imeeleza kuwa lengo la kikao ilikuwa ni kujadili na kupanga namna tuzo hizo zitakavyoendeshwa.

Tuzo hizo za Muziki zitatolewa na kusimamiwa na BASATA kwa asilimia 100.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live