Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMA2022: Sholo Mwamba Msanii Bora wa Singeli, abeba tuzo tatu

Shollo Mwamba Sholo Mwamba

Sun, 3 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Singeli ametakata katika usiku wa Tuzo za Muziki Tanzania baada ya kuibuka na tuzo tatu katika usiku wa jana.

Tuzo alizobeba msanii huyo ni pamoja na;

Msanii bora wa kiume wa singeli wa mwaka 2021 - Sholo Mwamba

Wimbo bora wa mwaka wa singeli - 'alowee' Sholo Mwamba.

Wimbo bora wa asili wa mwaka 2021 'asili yetu'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live