Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Mtangazaji Baba T afariki dunia Jijini Dar

Baba T Mtangazaji wa Vipindi vya Reggae East Africa Radio

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mtangazaji wa kipindi cha "Lovers Rock" ya East Africa Radio maarufu kwa jina la "Baba T" amefariki dunia.

Baba T amekumbwa na umauti leo Novemba 11 katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.

Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa na familia na umma wa watanzania watafahamishwa.

Baba T ni miongoni mwa watangazaji wa muda mrefu waliokuwa wakitangaza vipindi vya mahadhi ya muziki wa reggae.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live