Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

S2kizzy apinga watayarishaji kutohusishwa katika Mirabaha

S2 Kizzzzzzzzy Mtayarishaji wa Muziki, S2Kizzy

Sat, 29 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtayarishaji wa muziki Tanzania s2kizzy alia na mfumo wa mirabaha ambao kwa upande wake anasema umewatenga.

Kupitia ukurasa wake wa instagram S2kizzy amefunguka kuwa ni ajabu kuona kwenye swala la mirabaha ma-producer hawapo. Je kuna muziki bila producers?

S2Kizzy ameenda mbali zaidi na kusema kuwa swala hili halijafanyiwa utafiti na wahusika ndio maana imekuwa changamoto kulifanya katika njia sahihi.

Kwenye Post yake iliyofuata akaendelea kwa kusema kuwa "Tumekuwa nyuma kwenye mambo mengi sana ya maslahi, tumedharaulika sana. Tunafanya kazi kubwa lakini tunachoambulia ni kutokupewa kipaumbele"

Tazama hapa Chini kuona Producer huyo alichokiandika katika Post zake;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live