Wed, 13 Oct 2021
Chanzo: globalpublishers.co.tz
Msanii wa Muziki wa Rap, mwanadada Rosa Ree amefichua mapaya kuhusu mahusiano yake na mwenzawake.
Rosa Ree ambae anazungumzwa sana kutokana na muonekano wake usio na haiba ya kike na kuonekana amekaa kiume zaidi wiki kadhaa nyuma alimtambulisha mpenzi wake hadharani.
Global TV imepiga stori na mwanamuziki, Rosa Ree, kuhusiana na muziki wake lakini pia uhusiano wake alioamua kuuweka wazi kwa sasa na mchumba wake ambaye amemvalisha pete hivi karibuni.
Chanzo: globalpublishers.co.tz